Tuesday, June 3 2025

Header Ads

Asili Yetu Tanzania, Asili TV Online, 'Hot 112 Radio Show' na Jibambe Radio Show tunakutakieni Kheri ya Mwaka Mpya 2018.

Ikiwa hii ndio post yetu ya kwanza toka masaa machache baada ya kuingia mwaka mpya wa 2018, tuchukue heshima hii kukushukuru wewe mdau wetu popote ulipo duniani kwa kufuatilia blog hii kwa mwaka mzima.

Ni wazi kwamba Asili Yetu Tanzania blog imetoa support kubwa kwa wasanii wa Tanzania na wengineo duniani kwa kushare nyimbo zao na kuwafikia mashabiki wao wapya kwa urahisi sana.

Lakini pia tumekuwa tukishare vipindi vifupi vya radio hapa,'Hot 112 Radio Show' na Jibambe Radio Show, vimekuwa ni vya kheri kwa wasikilizaji wetu wote wa Kiswahili na tunapenda kuwazawadia zawadi hii. Tutumie namba yako ya WhatsApp katika namba hii +255 743 627 160 ili tuwe tunakutumia vipindi vyetu vya Redio bure kupitia simu yako.

Kwa wasanii mnaohitaji nyimbo zenu ziwekwe katika blog hii kokote mlipo, wasiliana nasi kutpitia namba hiyo hapo juu.

Wafanya biashara na wadau mbali mbali mnaohitaji jumbe zenu ziwekwe katika blog hii, wasiliana nasi kupitia namba hiyo hapo juu.

Wale wanaohitaji matangazo yao ya Redio na Graphics kutengenezwa kwa ubora wa kimataifa, basi milango ikowazi, tumia namba hiyo hapo juu.

KHERI YA MWAKA MPYA 2018 - ASILI YETU UBORA WETU.

Leave a Comment

Powered by Blogger.