Album mpya ya msanii Justin Timberlake - “Man Of The Woods”.
Justin Timberlake ameachia rasmi tarehe ya kuachia album yake mpya inayoitwa “Man Of The Woods”. Album hiyo imepangwa kuachiwa mwezi February 2.
J.T. pia ameachia tracklist ya album hiyo iliyokusanya nyimbo 16 huku akiwashirikisha wananii kama Alicia Keys na Chris Stapleton.
Tizama hapo chini tracklist nzima ya album hiyo.
Chini tizama single ya kwanza katika album hiyo, wimbo unaitwa “Filthy“.
J.T. pia ameachia tracklist ya album hiyo iliyokusanya nyimbo 16 huku akiwashirikisha wananii kama Alicia Keys na Chris Stapleton.
Chini tizama single ya kwanza katika album hiyo, wimbo unaitwa “Filthy“.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA