Header Ads

Breaking News
recent

WizKid kuwasainisha Radio & Weasel katika Record Label yake?

Stori zinatoka Uganda baada ya mtandao wa nchini humo kuvujisha mipango ya staa wa muziki Nigeria maarufu kama WizKid kupanga kuwasainisha wakali kutoka Uganda Radio na Weasel katika Record Label yake ya 'Star boy entertainment'.

Inasemekana kila kitu kimeshakamilika na wakali hao wamekubali kusainishwa na recording Label ya Wizkid. Na zoezi hilo linaweza kufanyika muda wowote. Nitakufahamisha kinachoendelea kuhusu hili, stay visting this blog>>>Asili Yetu Tanzania

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.