Video: Rudeboy – 'Fire Fire'
Baada ya kutoka kundi la PSquare hatimaye Paul Okoye ameachia video ya
ngoma yake ya kwanza iitwayo 'Fire Fire', audio ya ngoma hiyo
imetengenezwa studio za Rudeboy Records.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA