Video: Mafikizolo Ft. Yemi Alade – 'Ofana Nawe'
Kutoka katika albamu ya ’20’kundi la Mafikizolo linaloundwa na vijana
wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia video ya ngoma yao
iitwayo ‘Ofana Nawe’ ambayo inayopatikana katika albamu hiyo.
Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.
Wimbo huo wamemshirikisha Yemi Alade kutoka Nigeria.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA