Header Ads

Breaking News
recent

Vanessa Mdee aweka wazi Album Cover ya Album yake mpya ya muziki - "Money Mondays".

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, Msanii Vanessa Mdee ameamua kuwaonesha mashabiki wake cover ya Albamu yake ambayo anatarajia kuitoa na hii ikiwa ni albamu yake ya kwanza tangu aingie katika gemu la muziki wa Bongo fleva. 

Kupitia mtandao wake wa Instagram Vanessa Mdee ameonyesha kava ya albamu hiyo (Muonekano) na kuthibitisha hiyo ndio yenyewe kwa kuandika>>>"This is the official album cover #Money Mondays The Album"

Bado tarehe, orodha ya nyimbo na wasanii walioshirikishwa havijafahamika, tuwe na subira kigogo utavipata hapa.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.