Header Ads

Breaking News
recent

Picha tatu mpya za msanii Britney Spears ni motooo!!

Katika ukurasa wa mastaa leo, nakusogezea picha za moto kabisa kutoka kwa msanii wa kitambo katika muziki kutoka Marekani, maarufu kama Britney Spears.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Britney ameshare picha hizi kwa mashabiki wake walioko duniani kote. Britney ni msanii, dancer na muigizaji pia. Alizaliwa December 2, 1981 (36), na anakadiliwa kuwa na utajiri wa dola milioni 200.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
   

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.