New Video: Tekno – 'Only One'.
Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno ameachia video ya wimbo wake mpya
unaokwenda kwa jina la ‘Only One’ ambao ametoa kama zawadi kwa
mashabiki wake ikiwa leo Desemba 17, 2017, anasherehekea siku yake ya
kuzaliwa. Itazame hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA