New Video: Kendrick Lamar Ft. Zacari – LOVE.
Rapper Kendrick Lamar ameachia Video mpya ya wimbo wake wa LOVE, Video
imeongozwa na Dave Meyers & Little Hommies. Na wimbo huu unapatikana
kwenye album yake ya DAMN.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA