Friday, May 23 2025

Header Ads

Movie mpya ya Salman Khan 'Tiger Zinda Hai' yatingisha India.

Yamebaki masaa machache tu kuachiwa kwa filamu mpya ya kinara wa filamu za kihindi Salman Khan akimshirikisha mwanadada machachari maarufu kama Katrina Kaif.
Filamu hiyo inayofahamika kama  'Tiger Zinda Hai' imeweka headline sana kabla ya tarehe ya kuachiwa, kwani hadi sasa katika majumba ya sinema ya Mumbai, Delhi-NCR, Pune, Bengaluru na Chennai watu kibao wameshajitokeza kununua tiketi zao.
Movie hiyo iliyoongoza na muongozaji Ali Abbas Zafar, ni wazi kabisa itaweka rekodi mpya kwa mauzo nchini humo. Movie imepangwa kuachiwa rasmi hapo kesho 22nd December, 2017.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

Leave a Comment

Powered by Blogger.