Header Ads

Breaking News
recent

Movie mpya ya Komedi - 'Firangi'

Desemba 1, 2017, filamu mpya ya komedi inayokwenda kwa jina la Firangi, imetoka ikiwa ni filamu kutoka India.

Filamu hii imechezwa na mtaalam Kapil Sharma, ikiwa na urefu wa masaa 2:38.
Mastaa waliocheza katika filamu hii ni pamoja na Kapil Sharma, Ishita Dutta, Monica Gill, Edward Sonnenblick, Kumud Mishra, Rajesh Sharma, Inaamulhaq, Aanjjan Srivastav.

Director: Rajiev Dhingra
Tazama kionjo chake hapo chini>>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.