Header Ads

Breaking News
recent

Movie mpya ya 'Devil's Gate' kutingisha (Video)

Wapenzi wa movies karibuni sana niwasogezee huu mtonyo wa movie mpya inayokwenda kwa jina la 'Devil's Gate' (Geti la Shetani) movie inazungumzia kisa cha askari wa FBI baada ya mtu kupotea kusiko julikana, anaamua kuanza kumtafuta, lakini akiwa katika harakati za kumtafuta, akagundua kuwa kuna hali flani yaviumbe wasiojulikana wamehusika katika tukio hilo>>> sasa movie inaendelea.

Movie imechezwa na wakali hapo kwenye hiyo poster hapo juu,
na imepangwa kuachiwa mwezi January 5, 2018 (USA)
Director ni Clay Staub.

Tazama kionjo chake hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.