Lloyd Banks – 'End Of An Era' (Freestyle) mp3
Baada ya huu utambulisho wa hii kazi siku chache zilizopita, Lloyd Banks ameachia freestyle inayokwenda kwa jina la “End Of An Era“. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba zitaachiwa freestyle 10 kama sememu ya mlolongo huu kwa katika 10 zijazo. Isikilize hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA