Msanii Bebe Cool na Mkewe Zuena wapata mtoto wa kike
Staa wa muziki kutoka Uganda maarufu kama Bebe Cool na mkewe Zuena Kimera, hapo jana wamepata mtoto wa kike, akiwa ni mtoto wa tano, lakini wa sita kwa Bebe.
Mtoto amepewa jiana la Eman, na kwa mujibu wa chanzo, kimesema Zuena alijifungua saa 10:44 asubuhi hapo jana.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA