Header Ads

Breaking News
recent

Deepika Padukone ashinda tuzo ya mwanamke kutoka Asia mwenye followers wengi zaidi Instagram

Staa wa filamu za kihindi kutoka Bollywood, maarufu kama Deepika Padukone, amejishindia tuzo ya staa wa kike kutoka Asia mwenye followers wengi zaidi katika mtandao wa Instagram - (20.5 Million Followers). 

Kupitia mtandao wa Instagram Deepika alionekana kutupia picha hiyo hapo juu akionekana kushikilia tuzo yake.

Deepika Padukone kwa sasa anatamba na filamu inayokwenda kwa jina la 'Padmavat' iliyochezwa pia na Shahid Kapoor, Ranveer Singh.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.