Arusha International Organizations Open Day 2017
Novemba 25, 2017 stori zinaandikwa kutoka katika siku maalum ya mashirika ya kimataifa Arusha, iliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya UMOJA WA MATAIFA - MICT, LAKILAKI, ARUSHA TANZANIA.
Maonesho hayo yamehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kiserikali na wa mashirika ya kimataifa, ambapo wananchi walipewa nafasi ya kufika katika viwanja hivyo bure, yani walichukuliwa mjini kwa mabasi na kurudishwa bure.
Mbali na hayo wananchi na watu mbali mbali wamenufaika kwa kukutana na majaji, kufahamu jinsi mashirika haya yanavyofanya kazi na hata kutembelea sehemu ya mahakama ya kimataifa.
Watu wote walipata kushiriki chakula cha pamoja na kunywa pamoja, huku watoto pia wakiburudika na sehemu yao ya michezo.

Ngoma za asili pia zilikuwepo na walipata nafasi ya kutumbuiza watu waliohudhuria, chukua nafasi kupitia Asili Tv Online utazame kwa ufupi jamii ya wamasai wakitumbuiza>>>

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA