Header Ads

Breaking News
recent

Wimbo wa Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz – 'Poporopipo' (Audio)

Ni kolabo ya nguvu kutoka Zimbabwe na Tanzania ambapo msanii maarufu kutoka Afrika anayekwenda kwa jina la Mukudzeyi Mukombe, maarufu kwa jina la kisanii kama Jah Prayzah, kutoka Zimbabwe na kiongozi wa kundi la muziki la Third Generation, amemshirikisha mkali kutoka Tanzania Diamomond Platnumz kwenye hii ngoma, wimbo unaitwa 'Poporopipo', Bonyeza hapa>>>DOWNLOAD.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.