Video ya Benjamin wa Mambo Jambo - 'Bang'
Hivi si unamkumbuka Benjamin wa Mambo Jambo, aliyetamba na ngoma kibao kama vile My Friend na nyingine kibao, sasa amekuletea wimbo huu wa video, unaitwa 'BANG', Ucheki hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADSUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA