Header Ads

Breaking News
recent

Video mpya ya Chindo Man - 'Tumbonii'

Mkali kutoka Utengwani Jijini Arusha, Chindo Man, baada ya kufanya poa na ngoma ya 'Tumbonii' ambayo inasemekana ni kisa cha kweli kilichotokea Arusha, sasa msanii Chindo amekitengenezea video yake, icpimie hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.