Shakira na Gerard Pique kunatetesi zinaenea kuwa wameachana
Kuna tetesi kuwa mastaa hawa waliodumu kwa muda mrefu sasa, kuwa wameachana kwa sasa.
Habari zinaeleza kuwa, ni miezi mitatu toka Shakira na Gerard Pique waonekane hadharani wakiwa pamoja, jambo ambalo limewapa wengi wasiwasi kuwa huenda kuna mambo ambayo hayako sawa.
Wanandoa hao wa muda mrefu ambao walianza kuchumbiana mwaka 2011, wanasemekana wameachana, hii ni kwamujibu wa mtandao wa Cotilleo.
Shakira na Gerard Pique wamefanikiwa kupata watoto wawili Milan, 4, na Sasha, 2.
Hatahivyo wawili hao bado hawajasema chochote kuhusu tetesi hizi zinazozidi kuenea.
Pamoja na hayo, mwezi Novemba, Shakira atakuwa katika tour yake ya muziki itakayo malizika mwezi February, huku Gerard yeye yuko bize na kazi yake ya mpirahuko Uispainia kwaajili ya matayarisho ya kushiriki kombe la dunia mwaka 2018.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA