Pink atoa album mpya ‘Beautiful Trauma’ baada ya miaka 20 alipotoa ya kwanza
Hatimae baada ya muda mrefu msanii wa miondoko pop-rock, Pink ameachia Album mpya inayokwenda kwa jina la Beautiful Trauma.
Ni takribani miaka 20 hivi, toka msanii huyu aachie album yake ya kwanza, iliyoitwa, Can’t Take Me Home, na safari hii ameachia hii ya Beautiful Trauma.
Usikilize wimbo uliobeba jina la album hapo chini>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADNi takribani miaka 20 hivi, toka msanii huyu aachie album yake ya kwanza, iliyoitwa, Can’t Take Me Home, na safari hii ameachia hii ya Beautiful Trauma.
Usikilize wimbo uliobeba jina la album hapo chini>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA