Header Ads

Breaking News
recent

Picha za Muigizaji Tara Reid zawatia wazimu mashabiki, eti kisa amezidi kuwa mwembamba

Muigizaji maarufu Tara Reid, 41, kutoka nchini Marekani amekumbana na hisia hasi za mashabiki katika mitandao ya kijamii baada ya picha hizi kuenea wakati Tara alipotoka na mpenzi wake wa sasa Ted Dhani.
 Tara mwenye miguu miembamba mirefu, akiwa amevalia kigauni kilichoonesha miguu yake vizuri, iliwafanya mashabiki kutoa yao ya moyoni, huku wakitupia vijembe kuwa Tara siku hizi amezidi kuwa mwembamba>>>
Hata hivyo mwanadada Tara alinukuliwa baadae akizungumza na wanahabari kuwa na kudai kuwa, "watu wamezidi kuniongea sana , wengine wamekuwa wakisema eti sili chakula, mimi nakula kila mara, kila mtu anajua mimi hula zaidi ya mtu yeyote yule. Isipokuwa mimi ni msichana mwembamba tu". Tara
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.