Picha: Msanii Tamar Braxton alazwa hospitalini, adokeza mwenyewe
Msanii wa kitambo katika muziki kutoka Marekani, maarufu kama Tamar Braxton ameonekana kushare picha katika ukurasa wake wa Instagram inayomuonesha mkono wake akiwa amelazwa hospitalini, huku akiambatanisha maandishi haya>>>“#teamoverit,” “#notagain,” “#thisbluebirdisNOThappy.”
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA