Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Janet Jackson akatisha ziara yake ya muziki kwaajili ya mwanae

Staa wa muziki nchini Marekani, Janet Jackson amekuwa mama mzuri anayejali mahitaji ya mwanae EISSA mwenye miezi 9 sasa, maada ya kukatisha ziara yake ya dunia katika muziki na kumpeleka mwanae mapumziko huko Disneyland.
Janet baada ya kujifungua, amekua na muonekano tofauti, muonekano wa kuvutia, na bado anajihusisha na muziki kama kawaida.
 Janet Jackson, 51, pia katika mapumziko hayo aliungana na msanii CIARA, 31, naye akiwa na mwanae FUTURE ZAHIR mwenye miaka 3.
 Janet Jackson akiwa na mumewe, bilionae Wissam Al Mana, katika hiyo picha hapo juu.


PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.