Nimeacha Youth Club kutembelea kituo cha watoto yatima Kioga Arusha
NIMEACHA YOUTH CLUB na harakati za kimaendeleo. Kwa mara nyingine jukwaa la msingi wa maendeleo kwa vijana limeandaa safari ya kutembelea kituo cha matunzo na malezi ya watoto, MAKIMBILIO CHILD CARE kilichopo Kioga jijini Arusha ili kujifunza mazingira wanayoishi watoto, lakini pia kupeleka msaada wa mahitaji mbalimbali kwao.
Ukiwa kama mdau unaombwa ushirikiane nao katika kuambatana nao ama kutoa mafunzo ya afya siku hiyo, ama kuchangia Mahitaji mbalimbali ya kielimu, mavazi, hata elimu yenyewe, watoto hawa wanahitaji faraja yako siku hiyo.
"Unaweza kushiriki pia katika mijadala inayoendelea katika mitandao yetu ya kijamii kupitia Facebook (Nimeacha Foundation) na WhatsApp na vipindi vya redio tunavyoendelea kufanya".

Kwa mawasiliano zaidi tumia hizo namba katika poster yao hapo juu.
Hivi karibuni tutaleta tangazo la siku, wapi tutakutana na muda tutakao kwenda hapo kituoni.
Asante sana

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA