Header Ads

Breaking News
recent

Muonekano Mpya wa Janet Jackson baada ya kujifungua

Janet Jackson amerudi tena akiwa na muonekano wa kitofauti, yani muonekano amazing, ikiwa ni baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza mwezi January, wakati huo akiwa na miaka 50.

Janet, 51, jana alionekana kupanda stage katika tamasha la muziki huko Los Angeles.

Janet na mumewe Wissam Al Mana wamekuwa na furaha ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume Eissa Al Mana katika ulimwengu huu. 

 PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.