Header Ads

Breaking News
recent

Mapenzi yamenoga, The Weeknd ajipanga kumchumbia Selena Gomez

Ubwabwa umenikia kuliwa na wageni waalikwa watakaopata bahati ya kualikwa, “baada ya siku chache za kupuyanga katika kuweka mahusiano pazuri, sasa kwa taarifa zilizopo kwa sasa The Weeknd ameshagundua kuwa kunakitu kizuri na maalum kati yake na Selena Gomez.
Mkali Abel amekuwa katika mahusiano hata kabla na ameonekana katika matukio mbali mbali, lakini hisia zake kwa staa Selena zinaeleza kila lugha.
Hata kama The Weeknd anajua hii mambo ili sound crazy, wakati kwa mara ya kwanza alipokuwa anarusha nyavu kwa Selena, lakini anyway sio kesi.
Hata hivyo juzi kati jamaa  alinukuliwa akimwambia rafiki yake Lamar Taylor kuwa, 'amekutana na msichana atakayekwenda kumuoa'.
Na kila anavyozidi kumfahamu Selena, ndivyo anavyo anavyozidi kujua uzuri wake, chanzo cha karibu na The Weeknd kimeweza kuitonya HollywoodLife.
Ingawa wazo la The Weeknd kumuoa Selena Gomez ni jambo jema, “jamaa hataki kuwahisha haya mambo. Anataka kuweka mipango kwanza ya kumchumbia, ili akiiachia, mtoto mzuri Selena apagawe kabisa.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.