Maajabu, ndama azaliwa na vichwa viwili
Story zinaandikwa kutoka nchini Pakistani ambapo moja kati ya maajabu yatakayokufanya usiamini macho yako ni hii ya leo ya Ndama aliyezaliwa na vichwa viwili katika malisho ya Lucky Foods Dairy Farm mjini Karachi.
Ndama huyo ana vichwa viwili, macho manne, masikio manne, midomo miwili amepatwa na hali hiyo ambayo kitaalamu inaitwa (polycephaly) na inatokea kwa wanyama tuu na huenda hii ni mara ya kwanza kwa ng’ombe pori wa namna hiyo kuzaliwa duniani.
Tazama video hiyo hapo chini>>>

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA