Jennifer Lopez bado ni mkali, tazama alichofanya (Video)
Staa wa muziki na mama wa watoto mapacha kutoka Nchini Marekani maarufu kama Jennifer Lopez mwenye umri wa miaka 48 hivi sasa, bado anadhihirisha kuwa, bado yumo katika mauzuri ya muziki.
Kama unakumbukumbu sahihi, Jennifer alikwisha tajwa mara nyingi kama staa mwenye mvuto zaidi duniani kwa mara nyingi sana.
Sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye mashabiki milioni 69.3, katupia video hii hapo chini, aliyokuwa akiimba katika tamasha la Tidal X, ambapo pia wasanii kama Chris Brown, 28, Cardi B, 25, na JAY-Z, 47 aliimba! >>>

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA