Header Ads

Breaking News
recent

Hamisa Mobetto atajwa kuwania tuzo za 'Starqt' 2017 South Africa

Habari njema zinatoka kwa Mwanamitindo, Hamisa Mobetto ambaye amepata shavu baada ya kutajwa katika msimu wa nne wa tuzo za Starqt zinazohusisha biashara, mitindo, burudani na vitu vingine.

Hamisa ametajwa katika tuzo hizo kwa kuwania vipengele   viwili ambavyo ni  ‘People Choice Awards’ na ‘Super Mum’.

Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika  mwezi November 4, 2017 ambapo itakuwa siku ya Jumamosi katika ukumbi wa 'Bedford View City Hall', Johannesburg nchini Afrika ya Kusini.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.