Diamond Platnumz ashinda Msanii Bora wa Mwaka, tuzo za AFRIMMA 2017
Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya kunyakuwa tuzo
ya Afrimma katika kipengele cha Best Artist of The Year.
Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani, Diamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido,Wizkid na wengine hapo chini>>>
Artist of The Year
Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania)
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Uganda
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA