Header Ads

Breaking News
recent

Cristiano Ronaldo awa mchezaji bora wa Dunia wa FIFA

Mshambuliajia wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo amelitetea tena taji lake la mwanasoka bora wa Fifa kwa mwaka wa pili mfululizo.

Ronaldo amemshinda Lionel Messi raia wa Argentina anayekipiga Barcelona aliyeshika nafasi ya pili.
 Nafasi ya tatu imekwenda kwa mwanasoka ghali zaidi duniani, Neymar kutoka Brazil anayekipiga PSG ya Ufaransa.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.