Header Ads

Breaking News
recent

Mavazi ya msanii Rihanna katika New York Fashion Week ni hatari

 Mastaa wamekuwa ni watu wa fasheni sana wakwetu, hasa wanapokwenda kwa watu wengi basi wamekuwa wakitupia mavazi ya kibunifu zaidi. Baada ya staa wa muziki Rihanna juzi kuzindua kampuni yake ya vipodozi 'Fenty Beauty' sasa wiki hii ameonekana na mtoko huo hapo juu katika New York Fashion Week.
 Hata hivyo Rihanna ameonekana kulipenda vazi la Jeans kutoka na picha hizi mbili za matukio tofauti yakionekana kupambwa na vazi hilo.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani, kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe YouTube account yetu  kupata update kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.