VIDEO: Shetta - 'Wale Wale'.
Msanii wa Bongo Flava, Shetta ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Wale
Wale’ baada ya ukimya wa muda mrefu tangu atoe video ya wimbo uitwao
Namjua.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA