Beyonce ampa sapoti ya nguvu $1,565 mumewe Jay Z katika tour ya 4:44
Diva wa muziki duniani maarufu kama Beyoncé ameonekana kuvalia mavazi kama ishara ya kutoa ushirikiano kwa mumewe ambaye ni rapa na boss wa Roc Nation JAY-Z ambaye hivi juzi ameanza harakati za tour yake ya muziki iliyobeba jina la album yake mpya ya 4:44.
Beyoncé ambaye ni mama wa watoto watatu, 35, kupitia Instagram ametupia short slide inayomuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyodaiwa kumgharimu $1,565.
Kuanzia kofia, Stella McCartney’s $765 LindseyTop na raba (puma) zote ni bidhaa za msanii Jayz zilizogharimu $1,565.
Tazama hapo chini slide aliyoshare Beyonce ikimuonesha Jay z akifanya mazoezi kwaajili ya tour yake ya 4:44.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA