Kwa mara nyingine tena nakusogezea hii ikiwa ni baada ya ukimya mwingi, staa wa Bongo Flava, Vanessa Mdee
ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Kisela’ aliyomshirikisha Peter msanii kutoka
kundi la P-Square kutoka Nigeria.
Chukua time itupie macho hapo chini>>>
Video: Vanessa Mdee Ft. Peter wa P Square - "Kisela"
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Tuesday, July 11, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA