WizKid Ft. Major Lazer - 'Naughty Ride' mp3
Baada ya WizKid msanii staa wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa
duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua
kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a muziki la
Major Lazer kutoka Marekani.
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! .” Sikiliza wimbo huo hapa chini.
Msanii huyo baada ya kuachia wimbo huo, kupitia mtandao wake wa Twitter ameandika, “Just here to spread good vibes!! Positive energy everyday ! .” Sikiliza wimbo huo hapa chini.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA