Mwimbaji staa wa Bongo Diamond Platnumz amefanya collabo na mwimbaji staa kutoka Nigeria Tiwa Savage ni
katika video ya wimbo unaoitwa 'Fire'>>>
Hii hapa ndio video yenyewe ya mkali huyu ambaye ni mmiliki pia wa Lable ya WCB - Diamond Platnumz umeipokea vipi hii wakwetu>>>
Video: Diamond Platnumz Ft. Tiwa Savage - "Fire".
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Thursday, June 22, 2017
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA