Msanii kutoka lebo ya WCB, Rayvanny ameachia video mpya ya wimbo unaitwa
‘Mbeleko’, video imeongozwa na Joowzey, tazama hapa chini alafu toa
komenti yako.
Rayvanny wa WCB ameachia Video nyingine, inaitwa "Mbeleko".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, June 10, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA