Habari usiyotakiwa kuikosa wakwetu ni kuhusu Rapper Chid Benz ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Muda’.
Wimbo huu mpya amemshirikisha Q
Chilla, huku Studio ikiwa ni Kiri Records, unaweza sikiliza hapa chini>>>
Chid Benz Ft. Q Chilla - 'Muda' mp3
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Friday, June 23, 2017
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA