Ni headlines za Mwimbaji kutoka Bongo Flevani, Hussein Machozi
ambae watu wengi walikuwa na kiu ya sauti yake kwenye spika za Radio
sasa time hii staa huyo ametuletea video ya single yake mpya iitwayo ‘Nipe Sikuachi’ iliyofanyika nchini Italy. Icheki video hii hapa chini...
Video: Hussein Machozi - "Nipe Sikuachi".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Friday, May 05, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA