Msanii wa muziki kutoka WCB, Rayvanny ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa
‘Zezeta’.
Ambapo Audio ya wimbo huu imeandaliwa na Lizer Classic huku video
ikiwa imeongozwa na director, Nic Roux wa South Africa. Utupie macho hapo chini, na usisahau kudondosha maoni yako....
Rayvanny - Zezeta - (Video)
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, May 13, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA