Nimeacha Foundation Media Tour - Arusha.
![]() |
Judith (kiongozi wa youth) na Stanley (mtangazaji wa Nimeacha Radio Show) na mtangazaji wa Arusha One (kulia) ndani ya Arusha One Radio. |
![]() |
Judith (kiongozi wa youth) na Charles (Video Grapher wa nimeacha Foundation) wakiwa njiani kuelekea Arusha One Radio) |
Kama unapenda kuwa sehemu ya tukio hili, tafadhali wasiliana nasi kupitia>>>>> nimeacha2016@gmail.com, www.facebook.com/NimeachaFoundation
Na kama utaguswa kutoa msaada wa nguo, dawa ya meno, miswaki, sabuni, number boards au kitu chochote kile tujulishe, nasi tutakuja kuvichukua! +255 743 627 160
Asante!
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA