Kundi la Navy Kenzo wametuletea hii video mpya ya single yao iitwayo ‘Morning’, Video imetayarishwa kwenye mji wa Tel Aviv nchini Israel, na imeongozwa na Gleb Smirnov. Chukua time yako wakwetu utupia macho video hii hapo chini.....
Morning - Navy Kenzo - (Video)
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Saturday, April 29, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA