Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule
a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”.
Video imeongozwa na Hanscana. Itupie macho hii video hapo chini....
VIDEO ya Professor Jay - "Kibabe" iko hapa.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, March 19, 2017
Rating: 5