Msanii wa Nigeria, Orezi ameshirikiana na Vanessa Mdee kwenye wimbo huo
wa moto uitwao Just Like That. Video imeongozwa na Sesan. Enjoy. Chukua time yako kuitupia macho video hii hapa chini.......
VIDEO: Orezi Ft.. Vanessa Mdee - "Just Like That".
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Sunday, March 19, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA