Nyimbo bora 10 muda wote Afrika za tajwa.
Mtandao wa top101news.com
umezitaja nyimbo bora Afrika za muda wote mpaka 2017 ukiwemo wimbo wa
mwimbaji kutoka Tanzania Saida Karoli uitwao Maria Salome ukiwa kwenye
nafasi ya pili ya orodha hiyo.
10. Butu na Moyi – Makoma
9. Ndakuvara – Oliver Mtukudzi
8. Waving’ Flag – K’naan
7. All Eyes on me ft. Burna Boy, Da L.E.S., JR
6. Live and Die in Afrika – Saut Sol
5. Zangalewa – Golden Sounds
4. Godwin – Korede Bello
3. Vulindlela – Brenda Fassie
2. Maria Salome – SAIDA KAROLI
1. African Queen – 2 Face
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA