Msanii kutoka Kenya maarufu kama WYRE kutoka katika kundi la Necessary Noise ambaye amewahi kufanya poa na ngoma kibao tu Afrika ya Mashariki, sasa amekuletea video ya wimbo wake unaoitwa 'Lion'.
Chukua time utupie macho wimbo huu wa video hapo chini.....
Video: Wyre kutoka Kenya ameachia wimbo - 'Lion'.
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Wednesday, February 22, 2017
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA