Picha za mtoto mpya wa Diamond 'Nillan' sasa zawekwa hadharani.
Bilashaka wewe ni mmoja kati ya mashabiki wengi wa Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz
walikua wakisubiria hii siku, Diamond kupost picha ya mtoto wake wa pili
aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliyepata nafasi ya
kuona sura yake.
Hongera sana Diomond kwa mtoto wa pili na Mungu awabariki mwingine.
![]() |
| Sasa muda ndio huu wa wewe shabiki kumuona mtoto wa kiume wa msanii Diamond Platnumz. |



No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA