India na rekodi mpya ya kurusha Satelaiti 104.
India imeweka rekodi mpya kwa kuwa
taifa lililorusha setilaiti nyingi angani kwa wakati mmoja baada ya
kurusha setilaiti 104 kwa pamoja.
Kati ya setilaiti hizo zilizorushwa India, ni tatu pekee ambazo ni za taifa hilo. Nyingi ni za Marekani.
Source: BBC Swahili
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA